KOCHA HABIBU ARIDHISHWA NA KIWANGO CHA WACHEZAJI WAKE

Kocha msaidizi wa Klabu ya KMC FC, Habibu Kondo amesema kuwa tangu kuanza kwa maandalizi kuelekea kuanza kwa msimu mpya wa Ligi Kuu soka Tanzania bara msimu wa 2021/2022 (Pre seasons) hadi sasa kikosi hicho cha Manispaa ya Kinondoni kimekuwa na muendelezo mzuri na kwamba mikakati zaidi ya kukisuka kikosi hicho inaendelea. Habibu amesema kuwa